UVIMBE KWENYE KIZAZI ,DALILI KUU ,VISABABISHI NA MATIBABU YAKE
Muktasari:
- Fibroids au mayoma ni vivimbe au uvimbe unaoota kwenye kizazi (uterine fibroids). Uvimbe huu hutokea kwenye tumbo la uzazi ambao unaweza kuwa ndani ya kizazi (ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama ya kizazi na nje kwenye ukuta wa kizazi.
Post hii inaenda kufundisha kuhusiana na uvimbe wa kizazi kwa wanawake. Uvimbe wa kizazi no uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao unaweza kuwa ndan ya kizazi uvimbe huu ndan ya mwanamke hujulikana kama (uterine myoma au fibroid). Uvi
Sababu zinazopelekea kupata uvimbe kwenye kizazi
-progesterone na estrogen kuzid kiwango mwilini
-ujauzito
-uzito kuwa mwingi
-genetiki zisizo za kawaida
-lishe duni
-na sababu nyingine ni ya kurithi
Uvimbe kwenye kizazi umegawanyika ktk makundi matatu nayo no:
1.ndani ya kizazi(submucosal fibroid)
2.ndani ya nyama za.kizazi (intramural fibroid)
3.nje ya kizazi(subserosal).
Dalili za uvimbe kwenye kizazi
-maumivu makali wakati wa siku za hedhi
-kuvimba miguu
-unaweza kuhisi una ujauzito
-maumivu wakati wa ndoa
-kupata haha ndogo kwa taabu
-kutokwa na uchafu ukeni
-kupata choo kigumu
-mimba kutoka mara kwa Mara
-maumivu ya kichwa
-kuvimba sehemu ya chini ya tumbo
Matibabu ; OVARIAN HEALTH ni dawa yenye uwezo mkubwa katika kutibu uvimbe wa kizazi
Ushauri wa Mbochi Herbal Life:
“Mpendwa mama, unapopata dalili za maumivu ya tumbo la uzazi, uchafu usio wa kawaida, Uvimbe, au hedhi kuvurugika – tafadhali usikimbilie kutumia dawa kiholela.
Kumbuka, sio kila uchafu ni PID, sio kila maumivu ni uvimbe – na sio kila dawa ni suluhisho.
Mara nyingi kutumia dawa bila vipimo sahihi huchelewesha uponyaji na huweza kusababisha uvimbe wa kizazi, kushindwa kushika mimba, au hata madhara ya kudumu.
Badala yake, nenda kwa mtaalamu wa afya au tiba asilia anayeaminika, fanyiwa vipimo ili ugundue tatizo lako kwa uhakika.**
Mbochi Herbal Life tupo kwa ajili yako – tunakuongoza kwa upendo, elimu sahihi, tiba salama na maombi ya uponyaji.
🌿 Tiba Asilia ya Kweli huanza kwa maarifa sahihi.
🕊️ We Treat But God Heals.”